African businesses
Member
- Feb 13, 2024
- 85
- 211
Ndugu zangu wanasimba kucheza fainali za CAF katika hii generation sio kitu rahisi kama mnavyofikiria hizi zama sio miaka ile ya tisini mliocheza fainali za bonanza la Mashudi Abiola.
Wenzenu Yanga walijipanga na walikua na wachezaji kweli, ukiangalia kile kikosi cha yanga kilikua na experience players wliokua tayari wamecheza fainal za makombe ya CAF, walikua na Yanick mbagala, Juma Shambani, Tusila kisinda hawa wote wlikua wameshacheza fainali za CAF.
Sasa ndugu zangu ubaya ubwela wachezaji wenu fainali walizo cheza ni ni kikombe cha mapinduzi na muungano mtatoboa kweli, narudia huwezi kucheza fainali za CAF na wachezaji kama kina Mkwara, Kibu Denis, Ateba na mpanzu hata hapo mlipofika mmejitaidi sana.
Robo fainali ndio kikombe chetu wazee wa ubaya ubwela a.k.a mbuzi fc