Yellow bone
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 256
- 330
- Thread starter
- #21
Thanks.na wewe piaSiku njema.
Thanks.na wewe piaSiku njema.
HAHAHAAAAA hapo kwenye misukule nimecheka sana afu kqma kweli ivi asee!!Mtafutie Jiko na Masufuria, afanye Biashara hata ya Mama Lishe, ili apate UHALALI wa Mama wa Familia...
Asijifanye Mlezi wakati kila kitu anafanya Dada wa kazi...!
Kama ataki kuwa sehemu ya mzalishaji ili kuongeza kipato cha home, timulia mbali,
Umefika mwisho kutufanya MISUKULE yao...[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nyie si ndo mnataka haki sawa!!Waeleze eti wanataka majukumu tuchangie 50/50 nani kasema.
Sio wote wangine full kukomaa. Kina changu chetu, chake chake.wanaume wa siku hiz wanapenda slopeee
papuchi ungeinunua kwa bei kubwa sana tena yenye miiba. According to Wahenga KE ni pambo la nyumba!sasa hapo si ni sawa tu na kufuga msukule ndani...... Kama hana excuse ya kutokufanya kazi mi ningeisha mtimua mapema sana