Huu ukimya wa Ahmed Ally unamaanisha nini ?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
22,856
Reaction score
32,659
Mwamba Kila Baada ya dk 10 alikuwa anapost kwenye social media zake akiwananga Yanga na kampeni yao ya hatuchezi

Pia alipinga sana kuwa tamko la yanga la kutaka viongozi wajiudhuru ....halikuwa ni tamko la timu 48 za ligi za TZ...hivyo akaliita ni tamko la HOVYO na ni batili ( invalid) since ni la timu Moja

Note: Ahmed ally hakujua kuwa some times huku Yanga ... kidole kimoja kinavunja chawa
1749838715168.jpg
 
Huyo ni mpumbavu hajitambui, kwanza ana gundu, tangia amekuwa msemaji wa makolo hawajawahi kushinda hata kikombe cha uji !

Anayajaza makolo ujinga na yenyewe yanajaa ! Wasicheze sasa kama wana ubavu huo
 
Kuna vikombe vingine sio vipya, ni vile vile vya miaka yote. Ni wakati wa kuangalia hatua nyingine kubwa zaidi
 
Mwamba Kila Baada ya dk 10 alikuwa anapost kwenye social media zake akiwananga Yanga na kampeni yao ya hatuchezi

Pia alipinga sana kuwa tamko la yanga la kutaka viongozi wajiudhuru ....halikuwa ni tamko la timu 48 za ligi za TZ...hivyo akaliita ni tamko la HOVYO na ni batili ( invalid) since ni la timu Moja

Note: Ahmed ally hakujua kuwa some times huku Yanga ... kidole kimoja kinavunja chawaView attachment 3370857

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Badilisha Tecno yako kwanza.
 
Awambie Yanga kama alivyo waambie wiki iliyopita watangaze viingilio na asiache kuwahamasisha mashabiki wa timu yake. Alikuwa anatushia kujamba wakati,timu yake inatatizo la kuhara.

Hawa tarehe 24 hawatoenda kufanya mazoezi,watakuambia Yanga wameweka vitu.
 
Hata wasipokuja .... Pwenti tatu zetu

Back
Top Bottom