Huu ujumbe unailenga nchi yetu?

Kuupata sasa? [emoji1787]
Yaani akikaaa tu bungeni analipwa 640,000 kila siku

Achana na mahela mengine
Nifanye nikagombee ubunge, kupitia makundi maalumu.
Lazima nitoboe, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nifanye nikagombee ubunge, kupitia makundi maalumu.
Lazima nitoboe, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Achana na Ubunge wewe kuna kitu nimekifikia hapa yaani utakuwa unapiga hela za wabunge na wanasiasa ukiwa ume relax tu.

Wewe Tulia tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…