Huu ujasiri nimeupenda bure

Hawa vibonge wa mtaani tuwe nao makini, wadada wa sasa hivi wamejawa na tamaa ya Ngono.

Tujaribu kuwa makini na maisha yetu.
 
Hahahaaa huu uzi km vile Made in China [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vitafunwa utaleta saa ngapi? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
hana hata ya mkate
 
Hii gahawa mkuu
Basi atuletee tende, maana kashata pia unaweza kukuta karanga zimeungua [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha ubahili chai haina sukari hii!!
Niongezee na vitumbua tafadhali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…