Huu ugonjwa unaoitwa "chango" kwa wanaume na wanawake unaitwaje kitaalamu?

Jul 23, 2018
41
30
Wapendwa nianze kwa kuomba radhi kama mada hii ilisha wahi tolewa bila mimi kujua.

Nimekuwa nahangaika sana na tatizo hili la chango kwa kuamini ninalo kwani kwanza kabisa kwangu ninapokuwa na mwenza sijawahi kuweza kurudia tendo.

Sasa kila ninapotafuta suluhisho huwa naambiwa yawezekana nina chango kali sana na nimejaribu dawa nyingi hasa za kimasai lakini bado tatizo liko palepale.

Mwisho nimekuja ambiwa pengine mitishamba ninayotumia ni feki. Natamani kama hili tatizo linayo dawa ya kizungu napo nijaribu angalau nione. Saasa waungwana naomba msaada kwa atakae weza kunisaidia kwa hili. Asanteni.
 
Ukiumwa tumbo unaambiwa ni chango. Labda Leo tutapata majibu
 
Nenda hospital utapata msaada zaidi kuliko hapa JF.!!
Ila kwa elimu yangu ndogo chango kwa lugha ya kitaalamu hujulikana kama ENDOMETRIOSIS.....

unaweza pia uka Google kufuatilia about endometriosis.
 
Wapendwa nianze kwa kuomba radhi kama mada hii ilisha wahi tolewa bila mimi kujua.
Nimekuwa nahangaika sana na tatizo hili la chango kwa kuamini ninalo kwani kwanza kabisa kwangu ninapokuwa na mwenza sijawahi kuweza kurudia tendo.

Sasa kila ninapotafuta suluhisho huwa naambiwa yawezekana nina chango kali sana na nimejaribu dawa nyingi hasa za kimasai lakini bado tatizo liko palepale.

Mwisho nimekuja ambiwa pengine mitishamba ninayotumia ni feki. Natamani kama hili tatizo linayo dawa ya kizungu napo nijaribu angalau nione. Saasa waungwana naomba msaada kwa atakae weza kunisaidia kwa hili. Asanteni.
ukobwap? nipm namba yako nikupe dawa unilipe baada ya kupona*!
 
Kuna mdada ilikuwa nikimaliza ku-date nae tu, anasumbuliwa na tumbo nikamuuliza tatizo akaniambia ni CHANGO na nikahoji dawa au tiba yake akasema dawa zipo ila za kienyeji na hofu yake kubwa ni pale uzitumiapo kuna uwezekano mkubwa wa kupata mimba hali ya kuwa hujatarajia.
 
Back
Top Bottom