Huu ugomvi haukuhusu!

ZENITH

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
1,064
Reaction score
991
Jamaa kapoteza mali zoote na akawa maskini wa kutupwa sababu ya ulevi. Siku moja akapita karibu na jalala akaona chupa za bia. Akashika ya kwanza akaipasua akasema: kwa sababu yako nimeachana na mke wangu. akapasua ya pili: kwa sababu yako nimeshindwa kusomesha wanangu. akapasua ya tatu kwa hasira: kwa sababu yako nimefukuzwa kazi. akapasua ya nne: kwa sababu yako nimeuza mali zangu zote hadi nimefilisika. akachukua ya tano akakuta haijafunguliwa imejaa bia, akasema: we kaa pembeni, kwanza huu ugomvi haukuhusu,tutaongea baadaye inaelekea huna tabia mbaya kama wenzako!!!!!!!!!!!!!!
 
Ahahha mlevi katisha

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…