KAJICHO KIVULI
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 2,061
- 547
mkuu, jicho kivuli kwa kweli nina kukubali sana, yaani naona jukwaa linakaribia kupata mrithi wa mbuzimzee allien na mzizimkavu ambao siku hizi wametutupa, hivyo usichoke kutuletea vitu vitamu ili turudi kulipenda jukwaa letu.
Kipaji ....