Huu u-selective ntakufa bachela jamani

Basi fanya hivi, wachapeee tgen atakayeshika mimba oa labda mtakuwa mmepatana
 
Ndivyo maisha yalivyo, anayekutaka humtaki unayemtaka hakutaki
 
Mkuu badilika mimi nilikuwa na tabia ya kuwakataa single mama, lakini ajabu kila niliyekuwa na mpata alikuwa single mama basi nikaona isiwe tabu now nimetulia na single mama mmoja hivi maisha yanaendelea.
 
Najua mnawataka malaika

Ila sisi ndio tukoooo!!
 
Siku hizi ukimwambia nakupenda atakuji, na hiki kitambi changu? Ukisema kitambi hapana ukitoe analia
Basi kumbe bado haujakua, ukikua utajua ni namna gani sahihi ya kwenda nae sawa hadi hicho kitambi kinaisha.
 
Mkuu utakuja kuoa mwanamke wa kawaida sana hadi ww mwenyew utakuwa unamuangalia unasema 'WHAT IS THIS''?. Lakini atakutunzia familia na atakuwa mchapakazi.
 
Wanapatikana mkuu tembelea maduka ya mchina......
tatizo hawawezi kuongea tu
 
Ongezea ambae ukimpa pesa hachukui

Zaa wako tu unae mtaka hajaumbwa dunia hiii.
 
Huko kwenye Ndoa UNAENDA KUTAFUTA NINI?

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…