Nadhani haya makampuni yanafuata utaratibu km ule wa GNLD. Khs hawa GNLD naweza kukupa uhakika kwa asilimia kubwa kuwa si matapeli, ila inawafaa sana watu ambao wana muda mwingi wa kunadi bidhaa zao na kushiriki mikutano yao.
Khs makampuni hayo uliyoyataja, jaribu kufanya uchunguzi zaidi, na pia jaribu kumuuliza vizuri yule aliyekupatia "kadi" ya kukutambulisha, na km yuko tayari kubeba jukumu iwapo utatapeliwa.