First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,317
- 1,484
ni jambo zuri sana kumwona mwanaume halisi akipiga kazi bila kuchagua aina ya kazi.. lakini hii milegezo mingine ni kero hata kama anaekuangalia haimuhusu..
unakuta libaba lizima limeinama linachapa kazi kweli kweli hasa zile ambazo mtu unakuwa umeinama kama za sokoni, kufua nguo, kulima nk...
lakini kutokana na mlegezo wa suruali aliyovaa unakuta shati au t shirt inapanda mgongoni na kuacha mgongo wazi.. kimbembe ni pale unapokutana na ule mfereji hasa ukikuta jamaa mwenyewe ni mweusi.. (hata kama ungekuwa mweupe lakini ule mfereji unaoelekea uani huwa ni mbaya kwa mtu yeyote.. hii inatudhalilisha sana mwanaume.. tubadilike aseee
NB.. ujumbe unawagusa pia wanawake kwa sababu mazingira hayo yote yanalingana...
UKICHUKIA CHUKUA HATUA UJIREKEBISHE..
VAA SURUALI KIUNONI, NDANI YA SHATI/T SHIRT VAA SINGLAND THEN CHOMEKEA KWENYE SURUALI AU SKIRT(kwa akina dada) HALAFU ENDELEA KUPIGA KAZI..
INABOA...