huyo alipandikiziwa mbegu ya kiume dats y mkatili
Kumbe hujampa Bwana Yesu maisha yako! Wasubiri nini mtumishi wa Mungu niko hapa kwa ajili ya kukuongoza sala ya toba.sijui namna ya kuelezea lakini ukarimu/ukatili are two sides of the same coin. aliye na ukarimu mwingi alibadilika anakuwa na ukatili mwingi na vice versa. ni sawa na wale mafuska (5+men/night) wakiokoka wanakuwa wacha Mungu kuliko hata sisi wa kawaida so its the same logic kwa huyo dada. though simtetei maana her actions are unforgivable and unthinkable.
Nani amekuambia wanaume ndo wakatili?
Tafadhali fafanua....
hahaha its beta kila mtu akatafsiri kwa namna itakavyompendeza, dont be bias
congratulations on completely missing my pointKumbe hujampa Bwana Yesu maisha yako! Wasubiri nini mtumishi wa Mungu niko hapa kwa ajili ya kukuongoza sala ya toba.
Ukatili ni tabia ya mtu kama ilivyo kwa upole/utu wema. Haijalishi ni mwanaume au mwanamke. Yeyote anaweza kuwa mkatili. Si sahihi kusema kuwa wanawake siku hizi ni wakatili.