Huu ni zaidi ya ujasiri

Huu ni undezi wala sio ujasiri
 
Ukiona hivyo ujue kuna maandalizi ya magunia ya kutosha ya mkaa!
 
Tenaa huyoo wa hivyoo ndoo muuajii bora yulee anyekutukana na kukutishia maishaa TUMPENDE MKE WETU kaulii ngumuu sanaa
 
Msome na muelewe, haya mambo hayahitaji hasira. Ni kusaidiana tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Thubutuu, kupendana kwao kuna mipaka eti[emoji134]
Wanasemaga wao wanaweza ila sisi ndio hatuwezi kushea kwa kuwa hatupendani
 
Alisikika mlevi mmoja akiongea kwa sauti ya chinichini kama anamnong'oneza mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…