Dr. Chapa Kiuno
JF-Expert Member
- Sep 11, 2009
- 443
- 18
Wadau, ni majuzi tu kulikuja greda kutuhadaa sisi wakazi wa "Yombo - Buza" kwqa kumwagia kifusi barabara ili ijulikane imekarabatiwa lakini kwa maoni yangu naona kama wametutania maana sasa hivyi ndyo imekuwa mbaya n mashimo na vumbi ndyo usiseme...
Hivyi kama wanataka kutuhadaa kwa campain za chini chini, c mara kumi waweke atlist lami nusu? Kwa kweli imekuwa karaha...
Hivyi kama wanataka kutuhadaa kwa campain za chini chini, c mara kumi waweke atlist lami nusu? Kwa kweli imekuwa karaha...