MWAKA HUU 2017 KUTAKUWA NA MATUKIO MENGI SANA:
1.MZEE WA UPAKO AMEONEKANA NA KUPIMWA AKIWA MLEVI CHAKALI.POLISI WAMEPIMA UELEVI HUO LAKINI HAWAJACHUKUA HATUA YOYOTE
2.MAKONDA PAUL NI MUUMINI WA ASKOF GWAJIMA NA WOTE NI WASUKUMA.KAMA KIONGOZI WA DINI GWAJIMA ANA SIRI NYINGI ZA MAKONDA.GWAJIMA ALIKUWA NA SIRI ZA DR SLAA IKIWEMO KUMUWEKEEA ULINZI NA MAMBO YA NDOA
3.ASKOF GWAJIMA ALIANZA KUMWAGA SIRI ZOTE ZA NGUONI KWA SLAA, HADI SLAA AKAKIMBIA NCHI.
4.LEO TENA ASKOFU GWAJIMA AMEMWAGA SIRI ZA MAKONDA HADI MAKONDA AKANYAMAZA NA KUPOTEZA MWELEKEO WA VITA YA DAWA ZA KULEVYA
5.SASA HAIJULIKANI BAADA YA MAKONDA NI NANI ANAFUATA MAANA MAKONDA,NAPE NA MWAKYEMBE WALIPIGANA VITA MOJA YA KUANZISHA CCJ
6.MAMBO MENGI YANASEMWA LAKINI NI NANI ALIYEMPA SIRI GWAJIMA NA KWA NINI ASITOE YEYE.?
7.NI KWA NINI GWAJIMA AMEWEKWA MBELE KWENYE VITA HIII.??
8.MAMBO ALIYOSEMA GWAJIMA YANAONEKANA YANA UKWELI ,SASA NDANI YA KANUSA HILO KUNA WENTE VYETI FEKI WANGAPI?
9.JE GWAGIMA ANA PAMBAMBANA NA MAKONDA AU RAIS JPM.?
10.KUNA MAHALI GWAJIMA ANASEMA ALIKUTANA NA KITWANGA ALIFUKUZWA KWA UKEVI NA JPM , SASA KITWANGA,GWAJIMA,MAKONDA,MUSUKUMA ,PASKALI MANYALLA NA JPM WOTE NI WASUKUMA JE HIII NI VITA YA WASUKUMA .?