Niliapply kazi kwenye website ya zoom sikumbuki siku vizuri
Leo nimepata sms inasema hivi
Hello am Mr Abram from sabertek ltd DSM tuko kwenye kikao tunapitia CV za kuinterview .CV yako ni nzuri nitakusaidia upate hii kazi kwa masharti ;
Salary ni 2,400,000 take home ukilipwa utanipa 500,000 kwa kukusaidia na kabla ya SAA kumi utume elfu arobaini na tano ili nimpe mtu Wa interview anipe maswali nikutumie kwa email.
Sitaki kuweka number maana kesho nitaamkia takukuru tho najua polise Wa nchi hii hakuna kitu
Nimegoogle hata hawaeleweki hii kampuni ipo Kweli jamani?
Kumbe zoom kuna matangazo fekeroo???