• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Huu ni utapeli uliohalalishwa

Gluk

Gluk

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Messages
1,481
Points
2,000
Gluk

Gluk

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2017
1,481 2,000
Habari wanaJF;

Leo nataka niongelee UTAPELI uliohalalishwa, nao ni hizi kampuni zinazofanya biashara ya mtandao
(Network Marketing) Nimeshudia vijana wengi wakilizwa na hizi biashara hususani mawanawake na wanafunzi wa chuo.

Hawa jamaa wanakushawishi kwa ahadi kuwa ukitoa kiasi fulani utaingiza watu kadhaa na wewe utajipatia mamilioni ya pesa kwa lugha yao huita pea ( pair).
Ukijiroga ukaingia unabaki na kazi ya kuanza kuvaa shati nyeupe na suruali nyeusi na kuaminisha kuwa wewe ni bilionea mtarajiwa kumbe moyoni unaugulia maumivu..

Siku moja niliwahi kuhudhuria semina zao uli kufanya utafiti wangu mmoja kasimama mbele na kujinasibu kuwa kafanikiwa sana na anaingiza mamilioni ya pesa kwa wiki na anabadili magari apendavyo, jioni tulivyotoka nikamkuta standi ya daladala na tugagombania DCM za Mbagara pamoja.

NB: Ukiitwa kwenye fursa tambua kuwa wewe ndiyo fursa yenyewe.
 
Msela Baharia

Msela Baharia

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2016
Messages
476
Points
500
Msela Baharia

Msela Baharia

JF-Expert Member
Joined Jun 12, 2016
476 500
Ukisikia njoo kwenye fursa fahamu kwamba wewe ndio fursa ya wao kujipatia kipato
 
Chinsali

Chinsali

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Messages
921
Points
1,000
Chinsali

Chinsali

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2016
921 1,000
Wanatumia ukosefu wa ajira kuwatapeli watu.
 
Gluk

Gluk

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Messages
1,481
Points
2,000
Gluk

Gluk

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2017
1,481 2,000
wewe utakua unamzungumzia SIR JEFF ON DEMAND
Apana simzunguzii huyo, ila nimezungumzia wale wote wanaotumia mianya ya hali ngumu kiuchumi kujipatia kipato kwa njia ya udanganyifu hususani hawa wanaojiita network marketing
 
ISLETS

ISLETS

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Messages
8,185
Points
2,000
ISLETS

ISLETS

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2012
8,185 2,000
Hakuna aliyehalalisha huu utapeli. Ni wabongo ndio tunakuwa wagumu kishtuka na kupenda mteremko
 
Shoctopus

Shoctopus

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2015
Messages
2,468
Points
2,000
Shoctopus

Shoctopus

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2015
2,468 2,000
Matapeli ni wale wanaowafanya mnatapeliwa mwaka huu na ujao.
Habari wanaJF;

Leo nataka niongelee UTAPELI uliohalalishwa, nao ni hizi kampuni zinazofanya biashara ya mtandao
(Network Marketing) Nimeshudia vijana wengi wakilizwa na hizi biashara hususani mawanawake na wanafunzi wa chuo.

Hawa jamaa wanakushawishi kwa ahadi kuwa ukitoa kiasi fulani utaingiza watu kadhaa na wewe utajipatia mamilioni ya pesa kwa lugha yao huita pea ( pair).
Ukijiroga ukaingia unabaki na kazi ya kuanza kuvaa shati nyeupe na suruali nyeusi na kuaminisha kuwa wewe ni bilionea mtarajiwa kumbe moyoni unaugulia maumivu..

Siku moja niliwahi kuhudhuria semina zao uli kufanya utafiti wangu mmoja kasimama mbele na kujinasibu kuwa kafanikiwa sana na anaingiza mamilioni ya pesa kwa wiki na anabadili magari apendavyo, jioni tulivyotoka nikamkuta standi ya daladala na tugagombania DCM za Mbagara pamoja.

NB: Ukiitwa kwenye fursa tambua kuwa wewe ndiyo fursa yenyewe.
 
Scars

Scars

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Messages
11,074
Points
2,000
Scars

Scars

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2017
11,074 2,000
Kikawaida hakuna mbongo aliyefanikiwa atayekupa mchongo wa kupata mamilion uwe kama yeye. Ukielewa hili hautasumbuka na utapeli wenye sura ya fursa
 
Unforgetable

Unforgetable

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2019
Messages
2,170
Points
2,000
Unforgetable

Unforgetable

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2019
2,170 2,000
"Good Morning partners...." hapo ni saa kumi alasiri
Acha kabisa afu wanakuaga kama wanadawa hawa jamaa mpk unakuja kurudi kwenye akili zako ushapigwa ela ndefu

Cc Kingsmann
 
Wangari Maathai

Wangari Maathai

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
23,824
Points
2,000
Wangari Maathai

Wangari Maathai

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
23,824 2,000
"Good Morning partners...." hapo ni saa kumi alasiri

Hahahahaha hiibkali jamani nimecheka sana..mm nimekutana na mama mmoja..uwui kumbe anafanya hzo ishu...anajiita succesful..khaa kuja kujua..ahha! Nikamwambia hizo mm hapana!
 
A

asajizow

Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
43
Points
125
A

asajizow

Member
Joined Jul 11, 2015
43 125
Forever living walinipata nikiwa chuon 2011 na nimeenda enda vi tour vyao vya ndani ya bongo.Hasa arusha.
Habar za kutengenza network sijui ilinupate hela so kwakua siko vibaya sana kwenye convincing nika recruit wat wa 3 faster sanaa.Binafsi sikua interested na eneo la ku sell products so waliponipa tu yale ma vitu yao nikayatumia mwenyeww.Vingine nikampa sister vingine nikamtumia girlfriend wangu Saut mwanza.Nilikomaa sana ku recruit watu na nikaweza lakin sasa hela nikawa sipati nazozitarajia ..nikaona upumbavu huu nikaacha.

NB.
Kilichonichochea sana kufanya hii kitu ni kwasababu nilikua nimempa mimba girl wangu na nilikua nahitaji sana pesa ya maandalizi cz mbali na bum sikua na kipato.
 
N

Nyumisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2010
Messages
3,053
Points
2,000
N

Nyumisi

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2010
3,053 2,000
Dah! kuna ndugu yangu alinipeleka huko kwenye gud morning nikifikiri ananiitia kitu cha maana, niliboreka sana siku hiyo...sikutaka tena kupokea simu yake, haya mambo mengine kuvunjiana heshima.
 
morphine

morphine

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2012
Messages
3,312
Points
1,500
morphine

morphine

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2012
3,312 1,500
za kuambiwa..... na zako!
 
Kichwa Kichafu

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Messages
33,421
Points
2,000
Kichwa Kichafu

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2017
33,421 2,000
Mkuu Acha Tu-download Pesa Mtandaoni
 
Forum statistics

Threads 1,404,254
Members 531,540
Posts 34,448,808
Top