Huu ni utapeli mpya?

agata edward

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2014
Posts
6,641
Reaction score
9,414
Juzi nimepigiwa simu na watu wasiojulikana, wakadai mdogo wangu anaumwa yupo hospital kuna pesa zinatakiwa so wanataka nitume pesa kupitia simu ili apate matibabu..nikawauliza ghalama kiasi gani wakaniambia 50 elf,kabla sijatuma nikapata wazo lakuuliza wapo hospital gani ,kwa bahati nzuri waliponitajia na Mimi nilikuwepo maeneo hayo hayo ikabidi niwaulize mpo sehemu gani tukutane,walinikatia simu mpaka dakika hii hiyo no aipatikani..nimejiuliza huu ni utapeli mpya ? Au mimi Ndo mshamba?
 
Ndio niutapeli sio mpya
kivile make uku mwanza wazaz wenye watoto wao wanao soma private school washapigwa Ela zakutosha nikuwa makin kama spy
 
Watumie meseji uwaombe radhi kisha uwatumie hiyo pesa, so easy...
 
Pigia mstari hilo ndio jibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…