Huu ni Utapeli au Ukweli?

Huu ni Utapeli au Ukweli?

Ipananga kulwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2017
Posts
573
Reaction score
294
Habar wasaka tonge wenzangu .kama somo linavyojieleza, nliomba kaz kwenye kampuni moja kubwa hapa nchini kuptia kwa wakala wa ajiri( recruiters agents) sasa wameniita kwenye usail ila wametaka nitume kiasi cha shilling 10, O00/= ili nijaze wanitumie fom na kuahid watanirudishia pind nitakapo hudhuria ...Je ni kweli au ni matapeli? Nawasilisha.
 
Sasa kama ume-doubt, sisi tukushauri nini zaidi mkuu
 
Nauliza kama kuna wengne humu ndan kama na wao wamewahi kuagizwa hiv mkuu ...maaana kwa usawa huu
 
Suhh kampuni kubwa hiv wanakuwa matapel? Jamaa wenyewe ni Elite Consultancy ltd
 
Hahahahahaaa ...jamani kama kuna MTU aliomba kaz za sales and marketing officers za Nestle Company ..na yeye ameambiwa atume hilo ten?
 
Usitume hiyo hela other wise imekushinda kula au hauna matumizi nayo! ni bora ukatoe sadaka jumapili kisha uinenee na bwana atakubaliki na kazi utapata. Hao ni matapeli ndugu na wengi wameibiwa tena zaidi ya hizo
 
Back
Top Bottom