- Jeshi la kupambana na kuzuia rushwa?
- Jeshi la Uhamiaji?
Yaani unataka na wenyewe wajiwekee deadline, ila zimamoto wako faster sana deadline 1 feb shortlisting 12 march yaani mwezi na wiki tu tayari ila pccb walitumia kama miez mitatu hvi mpaka kutoa majina, uhamiaji nao sasa ni mwezi na wiki hawana hata dalili mh!, lakin pccb nalo ni jeshi jamani.
- Jeshi la kupambana na kuzuia rushwa?
- Jeshi la Uhamiaji?
siku hizi kila kazi ni jeshi,bado jeshi la kukusanya mapato Tanzania (TRA)