Huu ni uonevu au njaa

Michezo hiyo ipo sana hapo temeke.

Kwa kifupi huyo binti mwizi ameshirikiana na hao polisi kukuibia.
 
Ile post kule ya yule binti Irene anayetafuta kazi ni wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KEMWERU njoo uthibitishe hapa wewe ni mwanaume au mdada?😅
 
Yaani inapotakiwa kuwa r anaweka l na inapotakiwa kuwepo l anaweka r..hili janga la Taifa.
 
Japo nahisi chai, sio kesi

Yaani mchana saa 9, nimekaa tu, wanichukue, huo mtitibwake ungekuwa si mdogo.
Hao makenge wamekuletea miyeyusho mnoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…