miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,821
- 48,976
Aisee .......!!
habari zenu ...
yani wiki haishi wachaga tunanyanyaswa hatujui mapenzi .. wewe umechukua hatua gani ya kutufundisha ... mnataka tufanyaje sasa hapa naomba mtufunde nyie mnaojiona mnayajua mapenzi....
oooh tunalala kama gogo. ooh anafungua papuchi anaweka hapo hata romance hataki....... oooh miguu membamba .... oooh sijui tunamanyonyo makubwa ...... oooh tunaweka pesa mbele nitafurahiaje gegedo lako wakati sina hela pochi inalia njaaa... mapenzi yanahitaji akili itulie na si kuwa na mawazo ... kama na vimatatizo vidogo dogo tafuta suluuu na ndiyo tuendelea.... aiiiiiiii mmechefua roho yangu..
kwa kweli huu ni unyanyasaji wa kijinsia mkiendelea naenda washtaki .. kama sijui nifundishe....
ANGALIZO: MAPENZI NA NJAA HAPA HAKUNA...... HAPA MPANGO MZIMA NIPE NIKUPE....
'kwa hiyo mnatumia miili yenu kuondoa njaa kwenye mapenzi kwa kujipatia pesa au.....?'
'kwa hiyo ni biashara kwani...?'
kama ndio hivyo sasa unalalamika nini.habari zenu ...
.
ANGALIZO: MAPENZI NA NJAA HAPA HAKUNA...... HAPA MPANGO MZIMA NIPE NIKUPE....
hatumiii ila kama umekutana na mtu mwenye shida timiza shida zake na we utimizewe zako.... mapenzi yanahitaji akili nyingi
toka huko
toka huko
ndiyo kila wiki sisi mnatusema tumechoka