bampami
JF-Expert Member
- Nov 5, 2011
- 5,700
- 4,126
Habari nduguzanguni!
Najitokeza tena leo kulalamika na kuwakanya hawa watanzania wenye tabia hizi:
1. Kuna wadada na wamama wenye kudhani kuwa jumapili ndiyo siku ya kuvaa mavazi ya heshima, siku nyingine ni kuvaa mavazi ya kikahaba hasa nguo fupi HUU NI UNAFKI MKUBWA.
2. Unapojichubua ngozi kwa
vipodozi a.k.a mkorogo
unamaanisha: hujipendi jinsi
ulivyo, hujikubali,
humuamini aliyekuumba
kwamba kakuumba vizuri, humshukuru kwa
kukuumba ulivyo na
hujaridhika jinsi ulivyo. Ni
kukosa shukrani!
3. Vijana wenzangu ambao mmekuwa na tabia ya tamaa kila mdada mzuri unataka umpitie, huo si ufahari bali ni dhambi kubwa Mbele za Mungu.
4.Tabia ya baadhi ya wadada kupaka mafuta yenye harufu kali kichwn mpaka inakuwa kero kwenye daladala, si ustaarabu unawakela wengine.
5.Baadhi ya mama zetu wazee wa heshima kuvaa vinguo vifupi inak waje hapa? Tutawaheshimu kweli namna hii?
6.Ongezea...