mwaume asie na pesa utamjua tu
kulia lia akuishi
Hivi mapenzi pesa au kupeti???
Utampata wapi mwanamke ambaye hataki pesa yaani anakupendea umaskini wako? kiukweli pesa ni mbolea katika mapenzi halina ubishi ,mimi bnafsi napenda kchunwa mwanamke asipo niomba mshiko napiga chini,asipo niomba mimi atamuomba nani?...Mwanaume majukum sio kulalamika tu