huu ni ugonjwa gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

huu ni ugonjwa gani?

Discussion in 'JF Doctor' started by oldd vampire, Jan 15, 2012.

 1. oldd vampire

  oldd vampire JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 253
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  habari zenu wana jf doctor..samahani boyfriend wangu anaumwa sana kichwa mpaka damu zamtoka puani nyingi tuu..mpaka sometimes hua adondoka kwa ajiri ya kizunguzungu...na kina msumbua mda mrefu sana ..kuna mtu aliniambia ni dalili za brain tumour ni kweli?nisaidieni mana ateseka sana
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Ameshakwenda hospitali? Muda mrefu sana manake nini?

  Hizi symptoms sio za kuchukulia juujuu
   
 3. Kayoka

  Kayoka JF-Expert Member

  #3
  Jan 15, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,427
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Ana hit aji AIDS toka kwa madaktari bingwa wa magonjwa ya kichwa.
   
 4. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #4
  Jan 15, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kuumwa kichwa mpaka kutoka damu puwani ni dalili ya maradhi mengi tu. La kwanza kabisa ni chronic sinusitis Na inabidi utoe dalili nyingine kama vile homa za jioni, mafua, na kadhalika. Lakin all in all ni bora umpeleke Hospital.
   
 5. T

  TUMY JF-Expert Member

  #5
  Jan 15, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hili tatizo litakuwa serious, ila ni vema akawahi hospitali kwani mara nyingi watu tumekuwa na tabia ya kuupuuzia mambo inapokuja kuwa critical ndio unakwenda hospitalini na wakati ho inakuwa ni too late, utaratibu wa kufanya body check up mara kwamara nimuhimu kwani kinga ni bora kuliko tiba.
   
 6. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #6
  Jan 15, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  pole sana, awahi hosp kwa wataalam.
   
 7. jonal rashidi

  jonal rashidi Senior Member

  #7
  Jan 16, 2012
  Joined: Aug 27, 2011
  Messages: 121
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  kwa nini mpaka sasa hamjaenda hosptali?
   
 8. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #8
  Jan 16, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  mpeleke hospitali akapime faster hizo ni dalili mbaya...
   
 9. oldd vampire

  oldd vampire JF-Expert Member

  #9
  Jan 16, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 253
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ana kama miaka mi tano tangu aanze kuumwa
   
 10. oldd vampire

  oldd vampire JF-Expert Member

  #10
  Jan 16, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 253
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  alienda mwaka juzi wakamwambia ni kipanda uso tuu ndo chamsumbua,wakampa dawa ila bado ateseka tuu
   
 11. oldd vampire

  oldd vampire JF-Expert Member

  #11
  Jan 16, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 253
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  hua aumwa sana malaria hata homa pia
   
 12. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #12
  Jan 16, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Mpeleke mpenzio pale Magomeni, kwa Dk. OLE LENGINE. Atampa tiba zote. Mimi nilikuwa na hilo tatizo at the age of 10-15, chronic sinusitis, wakavinyofoa ikatulia. Nenda kamuone huyo atakusaidia
   
Loading...