Huu ni ugonjwa gani??

Lishe unajua maanake!?
Em taja msosi unaowapa. Usikute maukoko ya wali na ugali bila hata chanjo za minyoo [emoji54][emoji54]
Wanapewa ugali na vichwa vya dagaa, pamoja na mabaki ya nyama mkuu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu hebu leta ushauri tuyanusuru maisha ya wanyama hawa
Mbwa wangu alipata huu ugonjwa akalazwa pale clinic ya Ali Hassan Mwinyi Road Kinondoni kabla ya Airtel HQ mpaka alipofariki. Walisema Fungus lakini walijaribu kumtibu ikashindikana. That was 2001.
 
Mbwa wangu alipata huu ugonjwa akalazwa pale clinic ya Ali Hassan Mwinyi Road Kinondoni kabla ya Airtel HQ mpaka alipofariki. Walisema Fungus lakini walijaribu kumtibu ikashindikana. That was 2001.
Aisee,, pole mkuu
 
Ngoja nianze kuchimba mashimo
 
So sad kuona mbwa/human friend akiteseka namna hiyo. kama mdau hapo juu alivyosema, Lishe duni inahusika PLUS infections. Boss, mbwa ni kama binadam..atleast ale milo 2 per day. Mbwa anatakiwa ale ashibe na apewe maji safi ya kunywa. unatakiwa umusimamie mbwa wako wakati anakula chakula in order to watch her behaviour. ukiamua kufuga dog hesabu kuwa umeongeza familia, so you got to be responsible. Zaidi kamwone daktari wa mifugo atakushauri kitaalam ikiwa ni pamoja na kumchoma sindano ya kumzuia na magonjwa...@SNAP J
 
Asante Prof kwa ushauri wako. Nitaufanyia kazi. [emoji106] [emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…