Inawezekana mkuu maana hata hako nilikakuta sealed.mmh..hii kuna jamaa angu mmoja aliniambia kuwa hii inachangia pia especially kama dem atakua virgn
Utakua ulikua kwenye daladala labdaWakuu Salamu ziwafikie kokote mlipo.
Kuna hii tabia mimi huwa sipendezwi nayo kwa Wadada. Unakuta uko na Mdada unaongea nae tu vitu vya msingi kabisa lakini yeye anakua anacheka cheka licha kuwa kweli ni mazungumzo na kuna kucheka kwa hapa na pale, lakini kwanini mnacheka chaka hovyo in between maongezi?
Inakua too much yani mtu anacheka cheka tu ata sehemu isiyo ya kucheka.
Hii mimi imenitokea mara mbili nyakati tofauti Mmoja alikua tu rafiki tu a kawaida na mwingine ni mtu wangu wa karibu kabisa (Girlfriend).
Je, hii hali inasababishwa na nini?
Wanakucheka wewe unaeongea pumba.Wakuu Salamu ziwafikie kokote mlipo.
Kuna hii tabia mimi huwa sipendezwi nayo kwa Wadada. Unakuta uko na Mdada unaongea nae tu vitu vya msingi kabisa lakini yeye anakua anacheka cheka licha kuwa kweli ni mazungumzo na kuna kucheka kwa hapa na pale, lakini kwanini mnacheka chaka hovyo in between maongezi?
Inakua too much yani mtu anacheka cheka tu ata sehemu isiyo ya kucheka.
Hii mimi imenitokea mara mbili nyakati tofauti Mmoja alikua tu rafiki tu a kawaida na mwingine ni mtu wangu wa karibu kabisa (Girlfriend).
Je, hii hali inasababishwa na nini?
Simamia statement yako ya mwisho alafu uandike tenaIsijekua wanakuona kama Mr.Bean au Chalii Chaplin, hapo tatizo ni wewe na si wao. Ila Sitaki kuamini kama mkiwa na maongezi yale serious kweli mtu akaanza tu kucheka mmh unaanzaje,labda kama hayuko sawa kwa brain yake.
Mkuu ivi Unaelewa ulicho andika kweli?Wanakucheka wewe unaeongea pumba.
Baiskeli huna lakini unawaponda wenye Vitz, kwanini wasicheke.
Unakaa Buguruni Mnyamani unatuponda watu wa Kimara, kwanini usichekwe.
Unamuongelesha binti wa watu sehemu zenye chips, mishkaki, juice unazipita Kama vile huzioni.. kwanini awe msikivu.
Ngoja nikupe akili. Nenda kwenye ATM Iliyo karibu na bar. Mpe demu wako ATM card akatoe pesa halafu akukute bar unasubiri kongoro. Usimwambie kiasi maana hawezi kutoa zaidi ya milioni. Utasikilizwa sana hata ukiongea upupu
Sio hajawa interested ukisema hajawa interested nakataa..Nakupa mfano anakuja anaomba labda ni ushauri kwenye jambo fulani serious kidogo and ofcourse ishu serious ata ungekua wewe ungeipa uzito, sasa unakuta anaaza kucheka cheka in between hata sio sehemu ya kuchekeshaKwani unawaogopa kuwauliza?
Sometimes unakuta mtu hajawa makini kukusikiliza na wala hayuko interested na unachoongea hivyo ili akuonyeshe mko pamoja ndio anacheka hata kitu hakichekeshi. Kumbe hata hajasikiliza nini unaongea.
Issue unayoiona serious wengine wanaiona Ni ya kuchekesha kutokana na ilivyo ya kitotoSio hajawa interested ukisema hajawa interested nakataa..Nakupa mfano anakuja anaomba labda ni ushauri kwenye jambo fulani serious kidogo and ofcourse ishu serious ata ungekua wewe ungeipa uzito, sasa unakuta anaaza kucheka cheka in between hata sio sehemu ya kuchekesha