Moo Click
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,495
- 3,253
Wakuu Salamu ziwafikie kokote mlipo.
Kuna hii tabia mimi huwa sipendezwi nayo kwa Wadada. Unakuta uko na Mdada unaongea nae tu vitu vya msingi kabisa lakini yeye anakua anacheka cheka licha kuwa kweli ni mazungumzo na kuna kucheka kwa hapa na pale, lakini kwanini mnacheka chaka hovyo in between maongezi?
Inakua too much yani mtu anacheka cheka tu ata sehemu isiyo ya kucheka.
Hii mimi imenitokea mara mbili nyakati tofauti Mmoja alikua tu rafiki tu a kawaida na mwingine ni mtu wangu wa karibu kabisa (Girlfriend).
Je, hii hali inasababishwa na nini?