Huu ni Udaku mtupu - Mbao Broadcasting Corporation | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu ni Udaku mtupu - Mbao Broadcasting Corporation

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by komedi, Mar 30, 2011.

 1. komedi

  komedi JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Udaku mtupu, Umbea Orijino, Yaani bora usisome.

  Niliwahi kusikia siku moja mh makufuli amejiuzulu.

  Pale magogoni kabla hujakamata wizara kuna mfumo ulioanzishwa na mchonga meno ambapo unasaini kwanza barua yako ya kujiuzulu isiyokuwa na tarehe kabla ya kuanza kazi. Kwa hiyo hata Kalowa hakujiuzulu bali aliambiwa tu na mtunza barua, ''Mh Kalowa, umejiuzulu rasmi tarehe...''

  Sasa najiuliza Makufuli alijiuzulu vipi? Maana mtunza barua ndiye anayejua kama umejiuzulu au la.

  Au alimwambia mtunza barua ''Mh JK nakuomba tafadhali andika tarehe ya leo''?

  Halafu Mh JK akamjibu '' sitaki, toka hapa''?

  Pale kopi orijino ni moja tu inayotambulika. Hata kina Kalamaji, muunga hii na hebu mchenge ni humo humo tu.

  Kalowa nae alituzuga tu bungeni hakuandika chochote, barua ilipigwa tarehe tu, kushinei.
   
Loading...