Kaka tatizo waislamu hamjazoea kuambiwa ukweli. Maelezo ya Lukuvi wote tumeyasikia bungeni na hayana tatizo lolote. Kwani nani haoni au hajui ubaguzi wa wazi unaofanywa na waislamu hapa Tanzania. Zipo nyumba za waislamu hawapangishi wakristo, baadhi ya mashirika ya uma kama NSSF sasa hivi kupata kazi kama sio muislamu ni tatizo...kisa Dau na Chiku Matesa. Ipo mifano mingi...achilia mbali kuhujumu ukristo huko Zanzibar ambapo wote sisi ni mashahidi. Mikutano ya waislamu kutukana ukristo hadharani tunaishuhudi kila uchao. Leo Lukuvi ana ubaya gani???? Tutoleeni ushenzi hapa!!!
Hayo unayoyasema ndo ticket ya ccm kutumia udini kuwavuruga watanzania????Kaka tatizo waislamu hamjazoea kuambiwa ukweli. Maelezo ya Lukuvi wote tumeyasikia bungeni na hayana tatizo lolote. Kwani nani haoni au hajui ubaguzi wa wazi unaofanywa na waislamu hapa Tanzania. Zipo nyumba za waislamu hawapangishi wakristo, baadhi ya mashirika ya uma kama NSSF sasa hivi kupata kazi kama sio muislamu ni tatizo...kisa Dau na Chiku Matesa. Ipo mifano mingi...achilia mbali kuhujumu ukristo huko Zanzibar ambapo wote sisi ni mashahidi. Mikutano ya waislamu kutukana ukristo hadharani tunaishuhudi kila uchao. Leo Lukuvi ana ubaya gani???? Tutoleeni ushenzi hapa!!!
Tangu zamani waislamu na wakristo tumekuwa tukiishi kama ndugu huku tukishirikiana katika mambo mbali mbali ya kimaisha lakini kuna baadhi ya watu ambao wanataka kutugombanisha kwa maslahi yao binafsi.
Kuna waziri mwandamizi ambaye amesikika hivi karibuni akiwabagua waislamu akiwa ndani ya kanisa na amerudia uchochezi wake akiwa bungeni Dodoma.
Kitendo cha kudai kwamba wazanzibar wanataka kujitenga ili kuifanya Zanzibar kuwa nchi ya kiislamu ikiwa serikali 3 zitapita, ni uchochezi unaolenga kuwadhalilisha, kuwachafua na kuwashushia hadhi waislamu mbele ya jamii. Aidha, kuwahusisha uamsho na chama cha siasa sio jambo la kulifumbia macho hata kidogo. Lengo lake ni kutaka kuwagombanisha waislamu na jamii. Na ni bahati mbaya maneno haya yametamkiwa ndani ya kanisa, kitendo ambacho kinalenga kujenga chuki kati ya waislamu na wakristo.
Jamani, tuwapuuze hawa wabaguzi kwani hawana nia njema na amani na mshikamano wetu tuliojijengea kwa muda mrefu sasa. Nawasihi pia viongozi wa dini waache kutumiwa vibaya.
fanya uchunguzi kwanza sio unatupa lawama tu bila kuchunguza kinachoongelewa kipo
-tafuta video pamoja na audio za hao unaowatetea usikie wanacho waubiria waumini wao
- tafuta maazimio waliyo yafikia miaka za themanini pale Khartoum Sudan naona utashawishika na kinacho endelea
- Najiulize kwa nini mmarekani anamwandama mwarabu sana utapata majibu ya huyu unaemwita mropokaji wa office ya raisi
-then jiulize kwa nini waislam walikataa kuesabiwa na kama tume wakitaka kuwaesabu wawaesabu wao na wakristo wenyewe jiuleze nini malengo yao
- kwanini kipindi kile cha buguruni vugu za kidini walitaka palipo na waislam wengi wakristo waame na wakakae palipo na wakristo wengi je? hauoni kunaukweli na akichokiongea
-hapo huyu mweshimiwa alikosea kufikisha ujumbe alikuwa hashi sana but ule ndio ulikuwa ukweli
Likuvi ni Intarahamwe mwenye udini fasaha
Nina mashaka kama kweli umemuelewa mwanzilishi wa huu uzi.
Anachocholalamikia yeye ni uchochezi wa wanasiasa kwa Watanzania wa kawaida.
Angalia sasa unavyotokwa na mapovu na ndio nyienyie mtakao kuja kushika mapanga baadaye wakati mwenzako Lukuvi yuko kwenye VX lenye kiyoyozi.
Na hapo mtakapo kuja kuchinjana mwenzenu analikwea pipa na kwenda kula bata nje.
Mungemwambia Lukuvi kuwa kama ana tatizo na Waislamu wa Zanzibar basi anajua wanapopatikana ataandaliwa mhadhara wa Waislamu watupu halafu yeye azungumze hayo maneno yake badala ya kauli zake za kichochezi bungeni za kuwaingiza waliomo na wasio kuwemo.
lMh Lukuvi amekosea kusema aliyosema na mahali alipoyasemea.angeyasemea ndani ya bunge mjadala ungekuwa tofauti.hata hivyo katika hali ya sasa ni muhimu kuonyesha kwa vitendo kwamba hakuna sababu za raia yeyote kuwa na wasiwasi kwa tunaelekea kwenye sintofahamu.ili kufuta hali za wasiwasi ni muhimu kusema yafuatayo kwa wazi.tangu zamani waislamu na wakristo tumekuwa tukiishi kama ndugu huku tukishirikiana katika mambo mbali mbali ya kimaisha lakini kuna baadhi ya watu ambao wanataka kutugombanisha kwa maslahi yao binafsi.
Kuna waziri mwandamizi ambaye amesikika hivi karibuni akiwabagua waislamu akiwa ndani ya kanisa na amerudia uchochezi wake akiwa bungeni dodoma.
Kitendo cha kudai kwamba wazanzibar wanataka kujitenga ili kuifanya zanzibar kuwa nchi ya kiislamu ikiwa serikali 3 zitapita, ni uchochezi unaolenga kuwadhalilisha, kuwachafua na kuwashushia hadhi waislamu mbele ya jamii. Aidha, kuwahusisha uamsho na chama cha siasa sio jambo la kulifumbia macho hata kidogo. Lengo lake ni kutaka kuwagombanisha waislamu na jamii. Na ni bahati mbaya maneno haya yametamkiwa ndani ya kanisa, kitendo ambacho kinalenga kujenga chuki kati ya waislamu na wakristo.
Jamani, tuwapuuze hawa wabaguzi kwani hawana nia njema na amani na mshikamano wetu tuliojijengea kwa muda mrefu sasa. Nawasihi pia viongozi wa dini waache kutumiwa vibaya.
mkuu, bado sijakuelewa kabisa. ina maana wewe unamtetea lukuvi kwa kuwatukana waislamu akiwa ndani ya kanisa? wewe ni mchochezi, huna tofauti na lukuvi.