Huu ni uchawi au mauzauza?

fundibaskeli

Member
Joined
Nov 9, 2016
Posts
84
Reaction score
115

Hivi ndivo kulivokucha nyumbani kwangu leo.....

Msaaada kwa wataaalamu wa mambo haya mnisaidie ni nn hii???
 
Hivi ndivo kulivokucha nyumbani kwangu leo.....

Msaaada kwa wataaalamu wa mambo haya mnisaidie ni nn hii???

Hizo ni Gia za kukuogopesha mkuu ila Amna chochote kitakocho weza kukuzuru cha muhimu chukua kiberiti choma ivyo vitu ukimaliza Uombe dua kwa kusema Audhubilahi Minaa shwetan .kazi itakuwa imekamilika.
 
Jazakallah khayr al akhy
 
[HASHTAG]#mshana[/HASHTAG] jr kuja huku
 
Ki ukweli mimi hata nguvu za kupiga picha nisjngekua nazo ningekua nshazimika kwa presha
 
Daah jamaa wameamua kuamka na wewe leo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Umenikumbusha mbali..... Kuna jamaa alinirusha hela yangu tena kibabe...
Basi bana, nikatafuta chura mzima..... Nikamfunga kwenye kitambaa cheupe... Nikamwagia damu kidogo..... Nikaenda kuweka mlangoni mwa jamaa..... Jamaa kufungua mlango asubuhi anakutana na kitu inapumua..... Alafu ina dam dam.... Mbona aliniletea hela yangu mwenyewe..... Kumbe hakuna cha uchawi wala nn..... Usiogope mkuu.... Amna uchawi hapo.... Ni mbwembwe tu.
 
Hivi ndivo kulivokucha nyumbani kwangu leo.....

Msaaada kwa wataaalamu wa mambo haya mnisaidie ni nn hii???
Vimwagie chumvi mkojo na ndimu... Uone vitakavyotoka baru... Vikibaki hapo hapo mwagia petrol [emoji618]️ piga moto
 
Ningekuwa mimi hayo maji naweka tu majani ya chai na sukari nakunywa chai.

Sema hauna ujasiri huo
 
Kuna jirani yako mlipishana kauli wiki iliyopita na kutukanana. Huyo ndiyo kakufanyia hiyo michezo. Hicho chungu kimepikwa na dawa za kichawi hatari sana. Ukipuuzia utashangaa. Tafuta wazee hapo ulipo wakupe ushauri nini cha kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…