Huu ni mtazamo tu jamani!!!

Info Boy

Member
Joined
Sep 9, 2013
Posts
33
Reaction score
6
Kwa kuwa Mwanamuziki akifariki husindikizwa kwa NYIMBO, Askari au Kiongozi husindikizwa kwa kupiga Risasi au Mizinga. Kwa nini Mwalimu nae akifariki tusimsindikize kwa VIBOKO? Ni mtazamo tu jamani ww unaonaje je sawa au si sawa. Pata vichekesho zaidi hapa SWAHILI SMS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…