Huu ni mmea gani?

Huo mti ni wa maajabu sana..na mfano wake kama remote na tv...cku zote huwezi ona shina la huo mti,pia ni dawa ya pumu na kifua.ila kama utafanikiwa kupata shina lake (kiazi)ambalo huwa unaukontrol hayo majani yake bac ni dawa kubwa sna.
 
Nendeni pale sayansi kwenye viwanja hufanyika matamasha mara nyingi, kuna uwanja wa mpira na viwanja vya tennis, ipo hii miti kiibao!!
 
Acha uongo. Mbona unaota kwenye michungwa na yote inazaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…