Jindal Singh
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 1,857
- 1,542
Dawa ya nini mkuu mbona mimi sijasikia kitu kana hicho wakati niko nao kila siku!!Jamii ya hii miti ipo Ikulu ya Dae es salaam. Nasikia ni dawa moja Nzuri tu.
Dawa ya nini mkuu mbona mimi sijasikia kitu kana hicho wakati niko nao kila siku!!
Salaam JF,
Leo katika pitapita zangu somewhere in Tanzania nikakutana na huu mti ulio na kambakamba kama neti. Je! Huu ni mmea gani?
View attachment 403248
Nasikia wengine wanasemaga unaongeza nguvu za kiumeneja sio za kiume.Dawa ya nini mkuu mbona mimi sijasikia kitu kana hicho wakati niko nao kila siku!!
Duu!!kwani hua mnaumwa kumbe!!Ku
Kuna mdada mmoja aliwai nambia unasahidia kupunguza maumivu wakati wa hedhi.
Unaifahamu kilimanjarii?Huo sii mti bali ni maotea climber. Huota juu ya mimea mingine iikiwa yenyewee haiwezi kujitegemea. Ni km moss vile
Ndio nini Kilimanjarii? Au Kilimanjaro mlima au mkoa?Unaifahamu kilimanjarii?
Duu!!kwani hua mnaumwa kumbe!!
Ngoja nidadavue kidogo kuhusu hizo kambakamba zinazoota juu ya huo mmea.Dawa ya nini mkuu mbona mimi sijasikia kitu kana hicho wakati niko nao kila siku!!
Zipo kama hiziNdio nini Kilimanjarii? Au Kilimanjaro mlima au mkoa?