Huu ni mkwara mzito

naona dalili za watu kuvimbishwa busha hapa...
 
Ni vema kujaribu vitisho, wengine wanaviogopa! Good luck na pole
 
Msikiti unahusikaje hapo?
au kuna sheria ile ya kukata mikono mtu akibainika kama mwizi?
au kuna AYA zitasomwa alafu wahusika wakapotea?? zile aya zetu zile!!! - Ni mpango wa mungu???

najiuliza tuu.
 
aiseee babayangu milioni moja laki saba au milioni moja lasaba??
 
Eti msahafu wa mungu utatumika ktk kazi ya kuloga
 
Msikiti unahusikaje hapo?
au kuna sheria ile ya kukata mikono mtu akibainika kama mwizi?
au kuna AYA zitasomwa alafu wahusika wakapotea?? zile aya zetu zile!!! - Ni mpango wa mungu???

najiuliza tuu.

Unaandika km Umepagawa!
Soma Tangazo linasema nini kwanza kabla ya Kuuliza Maswali.

Unabaki na dhanadhana ka kibaka anaetaka kukamatwa.
Yaanini shida?
Ohh atapotea!
Ohh atakatwa mkono!

Au we muimba mchiriku?
 
Kwa mtu mwenye udhubutu wa kuiba msikitini au kanisani huu utabaki kuwa mkwara tu hakuna cha kurudi kwa pikipiki au hela
 
Samehe saba mara sabini mtu wa Mungu... Mola atakujaalia inshallah utapata nyingine...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…