huu ndo upendo wa kweli?

Unapouliza ushauri, ina maana unataka tukupe mawazo ambayo yatamuathiri huyo ulie nae sasa, kumaanisha humthamini ndo maana unafikiria upuuzi wa demu wa zamani..!
Kuwa mwanaume, jifunze kama katika dhiki hakukupenda, hakuona umuhimu wako, leo amekwama kakurudia vipi kesho unajua itakuaje?

Thou wahenga wa zama hizi wanasema ;-

.Ukiona anakupenda...jua kuna mjinga kashalizwa..
.Zakuambiwa...changanya na za kwako..
 
baby come back kwenye maisha ya kweli haijawahi kufanya kazi mkuu!
songesha na maisha yako achana na huyo mtu wewe.
 
Kwa mfano huyu gf mpya utamuachaje?acha 'sambi' em mtel uyo zilipendwa kuwa unam2 na mnamalengo tayari. Ila asijali wewe utamuombea apate mpya atakaemjali,ila u'l be there 4her 4any advice!takecare
 
Hakuna cha kukuchanganya hapo, yaani wewe demu huyo anataka kukutumia kama substitute eti aliekuwa nae wameachana so wahat.Mwambie wewe upo commuted na huyo ulie nae basi na kama huyo ulienae ni kimeo basi tafuta mwingine maana huyo mwalimu wa Mkwawa wamemchakachua the wamemwaga ndo sasa anakutafuta.At the end of the day haya ni mawazo yetu but wewe kama wewe uangalie moyo na uusikilize moyo unakuambia nini
 

MKUU ACHANA NAYE! ALIKUDHARAU TOKA KITAMBO.... NA UKIFANYA KOSA KUMUACHA ULIYE NAYE SASA MAISHA YENU NA HUYU WAZAMANI YAKAKUWA KAMA HIVI.....






 
si umwambie kuwa unae mtu?kwani tatizo liko wapi?au uliekuwa nae huna mapenzi kama ex wako?maana vitu vyengine wala sio vya kuuliza wakati jibu unalo
 

nimeipenda hio mkuu,wimbo huo unamgusa direct....sasa kama emeachwa na jamaa yake mwingine anataka nn kwako?kwann ww ulimuacha,si aliamua kwenda?umeshakuwa kwenye ukurasa mpya,fanya mambo na uliye naye saizi
 
Niliambiwa na babu yangu,,mwanamke aliyeweza kuruka mto mkubwa kumfuata mwanaume ampendae hatashindwa kumwacha mwanaume yule kama mwanaume mwingine atamwita ng'ambo ya mto mwingine..Silaha nyingine ya mwanamke ni machozi yake
TAFAKARI
 
kweli huku ndo JF,kunautofati mkubwa na fb...napenda nichukue nafasi hii kuwashukuru wote kwa ushauri wenu kwangu.mungu awabariki.together we can make changes.
 
Kama sijakosea umesema unasoma uhasibu, fanya cost-benefit analysis kwa hizo option mbili ulizonazo then u can decide.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…