Huu ndo ufunguo wa maisha

Jayspeed

Senior Member
Joined
Feb 23, 2014
Posts
156
Reaction score
169
Funguo za mlango wa maisha yako ni MUNGU na wewe mwenyewe ...Usikubali kuomba msaada haraka kwa watu kabla huja jaribu na kushindwa ...kusaidiwa kila jambo bila wewe kuonyesha nia ya kufanya jambo hilo ni kudumaza akili kuwa na fikra ndogo sana bila kuona mbali...usitegemee mtu mwingine akufungilie mlango wa maisha yako ...fungua mlango peke yako kisha wengine watakusaidia kusukuma ufunguke zaidi.
 
Sawa lakini bila kupewa mapande na watu wanaokujua utabaki kuwa mtu wa kawaida sana
 
Sawa lakini bila kupewa mapande na watu wanaokujua utabaki kuwa mtu wa kawaida sana
Ni kweli ila mapande unayoyasema mkuu huwezi pewa bila kuonyesha hatua yako ni nini. Mfano unataka msaada wa maisha huna hata business plan(mpango kazi).. Au hujaanza hatua hata moja. Nitalielezea hili kwa kina siku moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…