kitambiheshima
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 452
- 116
CHADEMA huwa kinanipa ugumu sana wa kukielewa hasa kwenye maeneo yafuatay;
a: Demokrasia;
Chama hiki kwa jina lake kinatakiwa kuwa na demokrasia. Kiruhusu uhuru wa mawazo na maoni. Kwa yanayoendelea ndani ya chadema tukianzia na wakati wa Chacha Wangwe mpaka wakati wa akina Kitila na Zitto, napata shida ya kuelewa aina ya demokrasia ambayo chadema wanaihubiri. Ninaona kama ni ulaghai tu na ukamilisho wa usemi usemao "wajinga ndiyo waliwao".
b: Ufisadi:
Katika hili utaona chadema wanapinga matumizi ya ndege ya Rais huku wao wakizunguka na chopper zikitafuna maelfu ya lita. Wanapinga matumizi mabaya ya fedha za umma huku wao wakiitumia ruzuku ya chama vibaya kwa kujengea majumba nje ya nchi. Aidha wanazunguka kimyakimya kwa mafisadi na kuchota fedha kutoka kwao. Mfano ni hivi karibuni ambapo Mbowe alikiri kuvuta mshiko kutoka kwa Mkono na Rostam akanunulia magari kisha akakikopesha chama. Mshiko huo ndio uliokifanya chadema kisifanye kampeni katika jimbo la Musoma vijijini (ushahidi upo). Tunakiona chadema pia kikiwa na msimamo wa kupinga matumizi ya magari ya anasa na hata mwenyekiti wake akadiriki kulikacha KUB. Lakini from nowhere Mbowe siku hizi anavinjari nalo na kupakia pia vimada.
Posho ya bunge hivyo hivyo, walijifanya hawaitaki siku hizi wanachukua kama kawaida. Slaa nae wanampoza kwa mshahara mnono pamoja na Josephine huku upande wa kushoto wanajikopesha millions of money. Wakihojiwa na wanachama wanawaita wanachama hao ................
My take: Huenda ni uelewa wangu mdogo ninashindwa kuielewa hii picha inayochezwa na chadema. Welevu nielewesheni maana mi inaniconfuse mno.
Poshok.m. akina Shibuda. Waniri mkuu wakati wabunge wao wanapokea mllions of money