Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,042
- 16,873
Watu wa VETA mmeanza kusumbua sasa, hii ni tafsiri ya kitabu gani chiefMtu anayekupenda
hawezi kunyonya uchi,
hawezi kukubali kunyonywa uchi,
Hawezi kukuingilia kinyume na maumbile,
Hawezi kukubali kuingiliwa kinyume na maumbile,
Hawezi fanya kama anakomoa mapenzi ni raha na starehe Kwa pande zote.
Na ikuchome na kukuingia hakuna ufundi chini ya jua.
Watu wa VETA mmeanza kusumbua sasa, hii ni tafsiri ya kitabu gani chief
Hayo manjonjo yanafanyka kwa hiyari hata wanandoa wengi hufanya, so don't impose your sexual values to othersMtu anayekupenda
hawezi kunyonya uchi,
hawezi kukubali kunyonywa uchi,
Hawezi kukuingilia kinyume na maumbile,
Hawezi kukubali kuingiliwa kinyume na maumbile,
Hawezi fanya kama anakomoa mapenzi ni raha na starehe Kwa pande zote.
Na ikuchome na kukuingia hakuna ufundi chini ya jua.
Ili uonekane umeshindwa kwenye maisha unakuwaje,Naona sasa maisha yamekushinda unaanza kupanga namna ya kuwapangia watu faragha zao..
Tukisema unateseka na mapenzi tutakua tumekosea? Shen z
Poleni sanaHayo manjonjo yanafanyka kwa hiyari hata wanandoa wengi hufanya, so don't impose your sexual values to others
Unashindwa kutulia kwenye mambo yako binafsiIli uonekane umeshindwa kwenye maisha unakuwaje,
Na mapenzi yanawezaje kumtesa mtu?
Gentleman,Mtu anayekupenda
hawezi kunyonya uchi,
hawezi kukubali kunyonywa uchi,
Hawezi kukuingilia kinyume na maumbile,
Hawezi kukubali kuingiliwa kinyume na maumbile,
Hawezi fanya kama anakomoa mapenzi ni raha na starehe Kwa pande zote.
Na ikuchome na kukuingia hakuna ufundi chini ya jua.
πΉπΉπΉ wasomi wa VTC wapumzisheni basi..!!Watu wa VETA mmeanza kusumbua sasa, hii ni tafsiri ya kitabu gani chief
Waache maramoja na ambao hawajafanya wasikubaliGentleman,
mbona unasema ukweli mtupu kwa ujasiri kiasi hicho?
hujui kwamba ukweli ni mchungu na ukweli unauma?
kuna wadau maskini ya Mungu wameshapitishwa kwenye madhila hayo na wameachwa wakidhani ati wanapendwa dah,
ama kweli wajinga ndio waliwao π
Mtu anayekupenda
hawezi kunyonya uchi,
hawezi kukubali kunyonywa uchi,
Hawezi kukuingilia kinyume na maumbile,
Hawezi kukubali kuingiliwa kinyume na maumbile,
Hawezi fanya kama anakomoa mapenzi ni raha na starehe Kwa pande zote.
Na ikuchome na kukuingia hakuna ufundi chini ya jua.
Wewe mbona umeshindwa kutulia na mambo yako , umereply hii Mada π€£Unashindwa kutulia kwenye mambo yako binafsi
Nimereply sababu umeingilia mambo yetuWewe mbona umeshindwa kutulia na mambo yako , umereply hii Mada π€£
Hivi unajua wenye mambo yao wewe kweli
Hii Qoute ya mseveni si SI unit ya Dunia ni Mawazo yake tu
Poa endelea kufanya (fanyiwa)Nimereply sababu umeingilia mambo yetu