Maduka mengi ya kuuza midoli au maduka ya kuuza nguo yanayotumia midoli yenye kufanana na maumbo ya binadamu hasa wa kike wamekua wakiiacha uchi midoli hiyo kitu ambacho naona sio sawa.. Maeneo ya Kariakoo ndio sana. Sijui wadau mnasemaje kwa hili? Mie naona kama sio sawa kabisa..