hahahahahahaha
kuna dada alilizwa gari shoppers, likaondoka kama movie vile
Gari atanunuliwa lingine, jamaa aliwahi kutapeliwa mke,yaani mahari alilipa yeye ila kuoa akaoa mwingine!
Haha kilimanjaro boat toka kigoma adi dar inapitia bahar gan?[emoji2]Hello Wana JF,
Kuna Siku Bhana Nimejaribu Kuingia Hii Kupatana Dot Com . Mimi nina Mtindo kama Nataka Kununua Kitu Online Huwa Natest Kwanza Uaminifu wa Wahusika. Nilikuwa nasoma Tu Thread za Humu kwamba Kumejaa Matapeli kule . sasa nami nikajitosa Nijue huo utapeli..
Sasa Bhnaa Nikaona TV jamaa Anauza yupo mkoa ambao naweza kupata hiyo bidhaa mapema na kuiona. Flat Screen Bei aliyoweka Ni laki 2 tu.. Nikasema Ngoja Nijaribu kwa Huyu ameweka namba zake Ngoja Nimtext kama Akiwa na Sound za Kitapeli tu Na Hana Ofisi ya Kueleweka namtosa
Meseji zetu zikawa
Me...Flat Screen zako ni mpya ? Na Hiyo ya laki mbili ni Aina Gani? Na inch ngapi
Jamaa...Ndio Laki Mbili Ni Nch 28 Ambayo Unatumiwa Ulipo . Nazime Baki 3 Saivi Wameshalipia
Me...Ni Aina Gani Mkuu
Jamaa....Nchi 28 Na Star X
Jamaa...Juma 3 Naingia Namzigo Tunaagiza Kongo Ukiitaji Weka Oda Kisha Tusubili Juma3, Napokeleg Kigoma Mizigo Kutoka Kongo. Ukiitaji Hiyo Itakuja Nakirimanjaro Bot Mpaka Dar Kisha Dar Utaufata Stend
Jamaa....Saivi Imelipiwa Moja Tena ZImebaki 2
Me...... Nielekeze Ili Nishuke baadae Ofisin kwako
Jamaa.....Utakapo Kuwa Tayali Nijulishe .Utamkuta Mtu Ofcn Mimi Sipo Niwekuja Kufata Mizigo Ya Watu Wa Oda . Nasizani Kama Utaikuta Hiyo Unayo Taka Zilikua 20 Toka Asubuhi Saivi Imebaki Moja, Wakati Mwema Ukiwa Tayal Sema Watakufata Stend Uliopo Wakupeleke
Me....Ungenielekeza ilipo Ofisi ningekuja Kuangalia nikiridhika na Mzgo natoa Pesa nakupa narudi na Mzigo..
SIKUJIBIWA TENA MESSAGE...
Sasa siwez sema Jamaa ni Tapeli ila Kwa Sound Hizo kwangu ni kama Tapeli.... Kwahiyo Kuweni Makini sanaaaa inawezekana kuna watu washaliwa Pesa.. Maana Ukiulizia Maduka Ya Tv Hapa nilipo biashara ya TV si ya Haraka Kutoka kama Jamaa anavyosema hapi Juu mara Zimebaki mbili sijui ngapi utadhan watu wananunua Peremende
Siku hizi mjini kila mtu tapeli! Mimi binafsi niliwahi kumtapeli penzi binti mmoja mbichiiiii! Nilimrubuni kwa maneno matamu akajaa!mmmhh kweli? hiyo hiyo kupatana.com
hahahahahahahaha
Mke atampata mwingineGari atanunuliwa lingine, jamaa aliwahi kutapeliwa mke,yaani mahari alilipa yeye ila kuoa akaoa mwingine!
Gari atanunuliwa lingine, jamaa aliwahi kutapeliwa mke,yaani mahari alilipa yeye ila kuoa akaoa mwingine!
Swadakta...kuna watu wameshapinda na maisha wanauza nyumba na vilivyomo...ukipenda akuachie hadi mkewe ni dau lako tu!Ina maana kupitia kupatana.com unapata mtu wa kununua !!!
we ni wakala wao nini?Binafsi nina experience nzuri na kupatana. Nishanunua item mbili toka kwao. Moja ilikuwa ni laptop, ilikuwa bei nzuri na ni nzuri sana mpaka sasa ndo naitumia. Pili nikanunua simu ya smartphone. Nokia lumia pia ilikuwa nzuri na mpaka sasa ninayo.
we ni wakala wao nini?
Labda kuna bahari toka mbeya mpaka darHaha kilimanjaro boat toka kigoma adi dar inapitia bahar gan?[emoji2]
inapita lake Tanganyika halafu inakuja kuungana na Indian Ocean, inaungana vipi sijui itabidi tulize Kupatana.comHaha kilimanjaro boat toka kigoma adi dar inapitia bahar gan?[emoji2]
Ni kweli kabisa mkuu. Ndio maana kule mwisho kabisa wameweka tahadhari. Epuka kulipa mapema. Kupatana ni sehemu nanunua simu zangu kwa bei rahisiBinafsi nina experience nzuri na kupatana. Nishanunua item mbili toka kwao. Moja ilikuwa ni laptop, ilikuwa bei nzuri na ni nzuri sana mpaka sasa ndo naitumia. Pili nikanunua simu ya smartphone. Nokia lumia pia ilikuwa nzuri na mpaka sasa ninayo.
Yaaah si kwamba Wote ni matapeli ila Kupatana Imejaa matapeli kuliko Walio na Lengo JemaBinafsi nina experience nzuri na kupatana. Nishanunua item mbili toka kwao. Moja ilikuwa ni laptop, ilikuwa bei nzuri na ni nzuri sana mpaka sasa ndo naitumia. Pili nikanunua simu ya smartphone. Nokia lumia pia ilikuwa nzuri na mpaka sasa ninayo.