mwanzo wetu
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 1,587
- 466
Anafeli sana...."K-kifo.
U-umasikini.
M-magonjwa.
A-Aibu".
Maneno makli sana haya, kwann lakini. Yatoe mkuu, ni mama zetu hawa.
100% perfect.Ukiangalia Kwa umakini utaona kirefu Cha neno **** kuwa ni ,.
K-kifo.
U-umasikini.
M-magonjwa.
A-Aibu.
Ndio Niko ktk mchakato Kuna mtoto wa kihaya nataka akaniulie ndani potelea mbaliTafuta mtu wako mmoja wa kueleweka muweke ndani kupunguza dhahama kama hizo boss...
Hiyo ni yakwako
Life is too short, kula mbussu ukipata kwa kua unaeza usiione kesho
Maswala ya kujikinga, Kila mtu anajua, usipojikinga, ni juu ako
Kwani **** ni neno Rasmi ktk lugha ya kiswahili"K-kifo.
U-umasikini.
M-magonjwa.
A-Aibu".
Maneno makli sana haya, kwann lakini. Yatoe mkuu, ni mama zetu hawa.
Hatari sanaAma kweli, kumbe!! Ubunifu mzuri. Wanaoparamia wasome kwa makini.
🤗fapper and proud
Punguza uzinzi chiefHabari vijana wenzangu pamoja na wanajukwaa Kwa ujumla..
Na tumai mko salama wote ,
Jambo kuu ni kwa wapenda sketi hasa vijana.
Vijana Sasa hivi tunakumbwa na magonjwa mengi hasa yanayotokana na kufanya ngongo isiyo salama.
Kuna Kila sababu wanaume kujali sana afya zetu Ili tudumu Kwa mda mrefu.
Hivi karibuni nimegundua hili Baada ya kushambuliwa na magonjwa ya ngono zembe, kwanza kabisa nimegundua uume hauamki kama unamatatizo ya magonjwa ya kingono ngono.
Na mshukuru Mungu Now nimepona hivyo ni meona vema kuwashirikisha vijana tusiwe na haraka na ngono Ili tusipate matatizo makubwa, magine uume wangu ulikuwa unaamka Kwa shida ila now Toka ni pone unakaa Uko juujuu kama ngoma za daku tofauti na hapo awali.
Kwa wakati huu Nakalinda sana haka kadudu kama yai maana magonjwa Yapo ndugu zanguni.
Ukiangalia Kwa umakini utaona kirefu Cha neno **** kuwa ni ,.
K-kifo.
U-umasikini.
M-magonjwa.
A-Aibu.
Mambo ya kuwekeana vidudu siyo poa kabisa tujilinde sana Ili tufike uzeeni.
Nawasilisha kwenu wakorintho.🙌
Nimeshaacha kabisa Afisa.Punguza uzinzi chief
Kuwa na wake zaidi ya wawili naona kama ni hatari kwa Mwanaume by any meansOyaa broo acha ngono zembe mbona watu wana miliki wake kwa zaidi ya miaka 25 na hawalalamiki kama wewe kikubwa acha tamaa
Mama ako alikuzaa kupitia kiungo gani we nyau? kabla ya kufikiria kutukana Wanawake mfikirie kwanza Mama yako😏Habari vijana wenzangu pamoja na wanajukwaa Kwa ujumla..