Zulqarnayn
Senior Member
- Oct 17, 2011
- 107
- 50
kama aliahidi kituo cha polisi na hajajenga basi ni kilaza wa uongozi?nakubaliana nawe don-oba kuwa huyo jamaa anayesema saut ni chuo cha kata ana akili ndogo sana.mtindo wa kupima chuo kwa majina ni ulemavu wa mawazo.Mwambie aangalie databse ya necta kwa watu wawili, Rais Malisa na Makamu wake.wote walipata division one kwenye mitihani yao ya form six. sasa hoja ya vilaza inatoka wp?