Huu ndio ugonjwa wetu

ha haa haaaa kweli mkuu na ni ka ugonjwa sugu kweli maskini bibi wa watu..!
 
Haa haa haaa!! ukizeeka huna soko...
noumer sana... umetisha
 
wazungu hao, sisi hatuna ugonjwa huo wa kishenzi.
 
Tiba yake ni kujitambua na kuelewa thamani ya utu na kuacha kuendeshwa na hisia pia tamaa za mwili katika kufanya maamuzi!
 
Masikini bibi wa watu,atadondokea mgongo hapo kwishneiii kabsaaaaa,sipati picha pua ilivyo banwa na huyo sista kuita hao waokoaji
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…