Huu ndio ubinadamu!!

kama ndio hivyo kweli ubinadamu kazi
 
Ndio maana wakasema kwenye watu kumi binadam mmoja badala ya kusalimisha roho yake kakumbuka na hicho kiumbe! Kweli huyu ni binadamu
 
wakati wa mabomu gongolamboto kuna mtu alichukua paka na kukimbia naye akidhani kamchukua mtoto...huyo anajua alichochukua?
 
Ni kweli.

Ameokoa maisha ya kiumbe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…