Huu nao ubaguzi kwenye mitandao

uroto

JF-Expert Member
Jun 25, 2015
404
250
Habari zenu wakuu,

Moja kwa moja kwenye mada husika

Juzi mtandao wa Tigo umenitumia text yao kwamba"Endapo nitahamisha kuanzia laki tano basi nitapewa elfu ishirini kama ofa" Asa najuiliza sisi masikini hyo ofa haituhusu inawahusu wenye kauwezo angalau

Leo tena wamenitumia text kuwa nikihamisha kuanzia 50,000 ntapata dakika 10 za bure

Sisi wavuja jasho ambao hata JF tunapitia freebasics tumetengwa.

Nkajiuliza nimwambie wakala anitumie laki5 ili nimhamishie mwingine nikipata hyo elfu20 nitoe hapo hapo nimrudishie wakala na ya makato nnabaki na 12,000.

Hall ngumu na LOCKDOWN bado haijatufikia.
 
Top Bottom