Huu nao ni utumwa wa kifikra

Huu nao ni utumwa wa kifikra

Lanlady

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2019
Posts
1,913
Reaction score
6,524
Kuzuia watumishi wa umma, waajiriwa wa serikali na wanachuo kujadili mstakabali wa nchi yao kwenye nyanja ya kisiasa, kwa kisingizio cha kutochanganya masomo na siasa, kazi na siasa; huo ni utumwa.

Hao hao ndio wanahamasishwa kupiga kura kuchagua viongozi wa kisiasa ila hawaruhusiwi kujadili siasa!. Hee, kazi kweli kweli.
 
Kuzuia watumishi wa umma, waajiriwa wa serikali na wanachuo kujadili mstakabali wa nchi yao kwenye nyanja ya kisiasa, kwa kisingizio cha kutichanganya masomo na siasa;, huo ni utumwa.

Hao hao wanahamasishwa kupiga kura kuchagua viongozi wa kisiasa ila hawaruhusiwi kujadili siasa!. Hee, kazi kweli kweli.
Kimsingi hawataki wajadili maana wanajua hao hawako na wao, hivyo wanajua watasikia wasichopenda kusikia. Ni kama mtu una ukimwi lakini hutaki kupima.
 
ata kwenye vijiwe vya kahawa wanataka mada iwe simba na yanga
 
ata kwenye vijiwe vya kahawa wanataka mada iwe simba na yanga
Ndio maana walitumia nguvu kubwa sana kupeleka watu kwenye mipira wasiongee siasa maana wanajua kabisa wameharibu mbayaa. Wanateka na kuuwa watu then kesho wapo kwa Mkapa wakitoa milioni kumi-hamsini ili watu wasahaulishwe maovu yao.

Mbona sasa hivi magoli hayanunuliwi,
 
Back
Top Bottom