Huu nao ni uhujumu

hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa pumbav sana wewe yaani mhapo wewe kinakuuma nn mwenyewe kaaamua hauzi wala hatoi sukari si ya kwake bhana sasa wewe s ukatafute kwingine
 
hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa pumbav sana wewe yaani mhapo wewe kinakuuma nn mwenyewe kaaamua hauzi wala hatoi sukari si ya kwake bhana sasa wewe s ukatafute kwingine
[emoji23] [emoji23] yaani paroko sadaka zetu ale halafu.... Sio haki
 
Mambo ya imani za watu (hata kama nawe umo) si vema kufanyia mizaha. Huamsha yasiyotarajiwa.

Huyo hajui atendalo...Hajui kilichotokea kule Mbagala wakati watoto wadogo walipokuwa wakibishana, na mmoja aka....mambo ya dini ni hatari...kuna watu humu JF uelewa wao uko chini sana.
 
acheni undezi nyie, wakubwa wa parokia huwa wanatumia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…