dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,937
- 8,358
Ndo hivyo mkuuHahahah sawa mzeiyaa
Acha tu mkuuKweli aisee,viwanja vyote watoto wamepungua kweli,
Mi sijafunga mkuu ila mademu kila unayemsimamisha kafungaKwani kufunga lazima? [emoji3]
Mbaya sana mkuu. Viwanja vimenunaHali ni mbaya
Sita zingine tena!!!?Sisi suni tunaendelea na mfungo sita, sasa ole wako utuguse tukiwa kwenye saumu zetu
Enheeeee!Sita zingine tena!!!?
...Ndiyo kwa waislam kwani ni ibada na ni nguzo mojawapo ya uislam.Kwani kufunga lazima? [emoji3]
HatareeEnheeeee!
Ni kweli mkuu. Lkn mwezi umekuwa mrefu balaaWavumilie tu mwezi umeshaisha
Sawa mkuu.....Ndiyo kwa waislam kwani ni ibada na ni nguzo mojawapo ya uislam.