vollies JF-Expert Member Joined May 31, 2015 Posts 748 Reaction score 446 Sep 10, 2016 #2 Napita ngoja nijiepushie dhahama duuu
Babkey JF-Expert Member Joined Dec 10, 2010 Posts 4,838 Reaction score 3,674 Sep 10, 2016 #3 Sijui niseme....mh!! Wasije wakasema lile neno maarufu la msimu huu..... Waalimu kanunueni vitenge.
Jambazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2014 Posts 16,654 Reaction score 18,805 Sep 10, 2016 #4 Haha dah! wakishona share za mwenge mshahara wenyewe kiduchu si utakatikia humo humo
MU-ARSENAL JF-Expert Member Joined Sep 21, 2012 Posts 956 Reaction score 597 Sep 10, 2016 #5 Huu ni u stupid at the Maximum
Slave JF-Expert Member Joined Dec 6, 2010 Posts 5,313 Reaction score 2,657 Sep 10, 2016 #6 Hapa kazi tu,shona kitenge wewe mwalimu acha kulia lia mbona kwenye harusi mnachanga sana,?
D dalaber JF-Expert Member Joined Aug 6, 2014 Posts 1,806 Reaction score 1,655 Sep 10, 2016 #7 Huku ni kujipendekeza